Kutoka dip kwenda degree

omary khamis

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
402
77
Habar wana jf naomba kuuliza kati ya mtu aliye anza ngazi ya chet,diploma na kisha degree na mtu aliyetoka form six then degree yup anakua na nafas kubwa ya kuchukuliwa pale watakapo omba kazi pamoja???
 
mdogo wangu mambo ya kuunga unga watu asaiv hawayataki ndo maana hata vyuo wana select kwanza freshers zikibaki nafasi ndo hao wanafikiriwa,,na pia umeona serikali haitoi mkopo,,na kwenye interview ninachoelewa mm wanaangalia vyeti vyenye high perfomance kuanzia o leve hd chuo,,asa mwenzio o level ana 1 ya pt 15 af ww una four ya 28 afu unajifariji kuwa unapewa priority .
 
By then,, udsm & muhimbili ilikua vgm sn kuchukua mtu wa diploma unless awe alipita form six ndo akaenda diploma,, so hiyo pekee inakupa picha watu wa diploma wanatizamwa vipi.
 
Back
Top Bottom