Kutoka Bunge la Katiba la Chit chat!

Kutoka Bunge la Katiba la Chit chat!

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,342
Reaction score
12,065
Ndugu wanajf nimebahatika kuingia katika BUNGE LA KATIBA, haya ndiyo tuliyoazimia:
1. Nauli ya kwenda S. Africa iwe bure kwani ni mteremko
2. Sukumawiki ichunguzwe kwanini haiwezi sukuma mwezi au mwaka
3. Siku za mwizi ziwe 70 sababu uchumi umekuwa mgumu
4. Nyama iuzwe kwa bei ya dagaa kwa sababu zote ni mboga
5. Njiti za kiberiti ziwekwe pande zote la sivyo wachonge upande mwingine tutumie kama toothpick
6. Sukari iuzwe bei ya chumvi kwa sababu vyote ni viungo
7. Soda ijazwe chupa hii tabia ya kuacha nafasi kidogo ni kutuibia
8. Donati zisiwe na tundu katikati la kazi kama si uhuni?
9. Vocha za buku ziuzwe mia tisa tupate mia ya kukwangulia.
Je kuna jingine ungependa tuweke kwenye katiba yetu? Karibu...
 
Hii ni nzuri, tena tamu kweli.Iende jokes tafadhali. Invisible please!
 
Last edited by a moderator:
Maghala ya mabomu yote yajengwe ikulu.yatoke mbagala na gongo la mboto
 
Back
Top Bottom