Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,234
- 1,814
Kongamano la kihistoria leo Arusha.Nafasi ya wasomi na wafanyabiashara katika kujenga uchumi wa nchi.
Watoa mada ni
1.Dr Mashinji Katibu mkuu wa CHADEMA Taifa
2.Prof Baregu mhadhiri SAUT
3.Dr Eliamani Lalitaika mhadhiri Mandela univerisity
4.Mh Sumaye waziri mkuu mstaafu
5.Mh Meya wa Arusha
Prof Baregu
Nani kati ya washiriki hana wasiwasi wa maisha?
Anatoa mfano wa tamko la Rais alipokuana na wakandarasi kuwa hata yeye Rais ana wasiwasi. Tumefikaje hapa?
Je matokeo ya uchaguzi yalikuwaje?nini hasa kilitokea?anatoa mfano wa uvamizi wa tallying center uliofanywa wakati wa uchaguzi
Pia uchaguzi wa Zanzibar ulifutwa na mwenyekiti kihuni
Updates
Mh Sumaye
Sio dhambi CCM kuondolewa madarakani.Katiba yetu inatoa uburu wa mawazo lakini watu hawana uhuru huo kutokana na hofu ambayo wasomi na wafanyabishara wamejengewa na CCM