Kutojiuluzulu kwa Chenge na kutoomba radhi kwa Karamagi kunawaletea aibu kubwa

Huyu hana kosa alikua anatekeleza ilani ya chama mana hakuna msafi ndani ya chama...anaetakiwa kuomba radhi watz ni chama chakavu kwa kutuibia miaka yote hku wao na familia zao wakielea kwenye utajiri wa ajabu....jana boss wao alitakiwa kuomba radhi watz ndio wangemuelewa sio kuja na mikwara watu washulikiwe bungeni n nje ya bunge.

Hakuna msafi lumumba hata kingunge aliwahi kusema wote ni ukoo wa panya
Omba unafiki huu uishie kwako, ukiingia kwenye kizazi chako utahatarisha maisha ya wanao. Usiweke vyama kwenye maslahi ya taifa. Pengine mods wangemodify jf yetu, iwepo seven ya like, dislike na no comment. Itakuwa nzuri zaidi kwa aina hii ya watu.
 
Yeye ndo wakulaumiwa mkapa mwinyi na kikwete hawajui sheria ndo mana wanakua na washauri wakisheria.
mkuu ni kweli lakini kabla muswada haujapelekwa bungenh unapitiwa kwanza na baraza la mawaziri.haiingia akilini kuwa wote hao walikuwa wanaburuzwa tu na mwanasheria wa serikali.
lao lilikuwa moja,kama ni asali walilamba wote.
 
Kumbuka aliaminiwa na Serikali pia alikaa muda mrefu sana kama mwanasheria mkuu na kama mshauli wa maswala yote ya kisheria serikalini. Yeye ndo anabeba mzigo wote sisi wa tz hatutaki kujua alikula na nani labda awataje yeye sisi tunambana tuliempa dhamana.
Wewe na nani na lini mulimpa dhamana AG. tuliowapa dhamana ni maboss wao na AG. Wao ndo wenye mamlaka ya mwisho. Kiukweli katiba yetu ingekuwa na meno ya kutosha Leo Central kungejaa waalifu.
 
mkuu ni kweli lakini kabla muswada haujapelekwa bungenh unapitiwa kwanza na baraza la mawaziri.haiingia akilini kuwa wote hao walikuwa wanaburuzwa tu na mwanasheria wa serikali.
lao lilikuwa moja,kama ni asali walilamba wote.
Nchi za wenzetu huku ulaya na America kama waziri unaona unachomeshwa na mwanasheria hua unajiuzulu kwa manufaa ya taifa lako na likija kutokea kama hivi mwanasheria anakamatika kirahisi sana.huku kwetu mwanasheria mkuu anakua ananguvu sana ya ushawisi na kagenge kake hasa akipewa mzigo atamkomvisi hata rais na kaa na kujua viongozi wetu wengi wavivu sana kusoma hii mikataba inakua na vimbinu vingi sana Vya ulaghai.hatukua makiniki lakini chenge alijua kila kitu
 
Back
Top Bottom