Mtu kama feisal anakipaji kikubwa sana lakini kutokana na timu aliyokuwa nayo wakifika CAF tu hatua na mtoano hawatoboi ndio anazidi kudidimia.
Ila kama Feisal angepata timu nzuri or yanga wangejitahidi hata kuingia makundi basi mda sana, angeshasajiliwa kwenye timu kubwa Afirca mwishowe ingekuwa ni mlango wake wa kuelekea Ulaya ila ndio hivyo anatamba na ligi ya ndani tu
Inawezekana akawa ana kipaji kizuri lakn hicho kipaji chake anakionesha akicheza dhidi ya akina nani!???
Mtu anang'aa dhidi ya akina Ruvu shooting, Mbeya City, Mbuni Fc, Friends Ranger nk lakn wakija akina Vipers, Rivers, Hilal, Zanaco mchezaji anakuwa kama bundi anaishi gizani, haonekani kabisaa,,,, atauzikaje kwenda nje!??
Yanga sio tu wachezaji hata makocha wao wakiachwa wanakuwa hawana soko tena
1. Zahera alitemwa akaenda Gwambina, akarudi Yanga kuzuga zuga, mara sasa hv kawa mchambuzi wa kujua nani kanenepa na nani hana kasi na dili zake za kuuza tshirt za Polo online
2. Cedric Kaze alitemwa akakaa kitaa, mwisho akaomba arudi kama mkalimani wa Nabi, ndipo Yanga wakamuonea huruma wakampa ass coach
Sasa angalia Makocha waliotemwa Simba
1. Didier Gómez - Alipata timu ya taifa Mauritania kushiriki Afcon
2. Sven- Alipata FAR Rabat Morroco
3. Aussems-alienda Fc Leopards South Africa
4. Goran- kaenda Al Ittihad
Kwa upande wa wachezaji Simba imeuza
1. Samatta-kwenda Tp Mazembe kisha Genk
2. Ochan- aliondoka na Samatta kwenda Mazembe
3. Henry Joseph Shindika- Kongsvinger
4. Haruna Moshi Boban
5. Okwi-Esperance de Tunis
6. Kichuya--Pharco egypt
7. Matola - Supersport Utd kwa Mandela
8. Miquissone
9. Chama
Nk nk
Hakuna mchezaji na kocha yoyote ktk ukanda huu wa East, Central and west África wasiotamani kuja SIMBA, kwasbb licha tu ya maslahi mazuri lakn ukifanya vizuri unakuza Profile yako na inakuwa rahisi kuuzika kwenda Vilabu vikubwa kuvuta mpunga mnene
Sasa wakikosa nafasi SIMBA ndipo huenda Vilabu vya chini yake huko Utopoloni
Mtu kama Aziz Ki sasa hv atakuwa mwenye majuto sana kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa 😅
Mdaka mishale miezi michache kabla hajaja Uto alikuwa nambari Uno pale Mali National team, ila sasa hv kila akimpigia simu Kocha wake timu ya taifa hapokei simu 😀