Kutoa uchafu kutoka puani

Glas

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,242
Reaction score
1,188
Wakuu, habari zenu bhana...aisee kuna hii kitu nimejaribu kufanya kautafiti kidogo matokeo yake yananichanganya. Ni hivi, ni kwann mtu akitoa uchafu puani kwa kidole ni lazima aangalie kabla hajaamua kufuta au kutupa pembeni?? Nimejaribu kuangalia watu wengi nikiwemo mimi mara zote napotoa uchafu puani ni lazima nitaangalia kabla cjafuta. Je kuna uhusiano wowote kisaikolojia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Si unaangalia nini kimetoka..waweza kuta umetoa kipande cha pua!!
 
mkuu ukiiulamba ni mtamuu una chumvi chumvi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…