Kutoa simu kwenye desktop display.

Kutoa simu kwenye desktop display.

manuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Posts
4,064
Reaction score
10,748
Natumia simu aina ya samsung jana nilikuwa na browse jamiiforums ikaniletea option ya desktop nikaclick pale kwenye hiyo option nikapata features kama upo kwenye computer ila ikawa very slow ukilinganisha na wakati nilikuwa na browse normal.Kuna yeyote anaweza nisaidia ni jinsi gani naweza irudishe normal?
 
Scroll mpaka chini kabisa upande wa kushoto (kwenye ule mstari wa blu wa mwisho) utaona ka-dialog box pale. Bofya pale utapata otpion ya wapsite, chagua hiyo
 
Scroll mpaka chini kabisa upande wa kushoto (kwenye ule mstari wa blu wa mwisho) utaona ka-dialog box pale. Bofya pale utapata otpion ya wapsite, chagua hiyo
Thanx mkuu.
 
Back
Top Bottom