Hapana nikama shahawaNi shahawa au ni usaha?
Na utamu unausikilizia kama vile unapiga bao? 😳😳😳
Gono sugu hilo. Ukichelewa kwenda hospitali unaweza ukapoteza uwezo wa kuzalisha, achilia mbali kuRIP. Na kuanzia sasa please tumia kondomu!Hapana nikama shahawa
Msimtishe mtotoGono sugu hilo. Ukichelewa kwenda hospitali unaweza ukapoteza uwezo wa kuzalisha, achilia mbali kuRIP. Na kuanzia sasa please tumia kondomu!
Hongereni sanaPole sana mkuu kuna mjomba wangu nae alikuwa hvy hvy,
Siyo shahawa mkuu,hiyo inaitwa Wadii. Ni kawaida tu Huwa zinatoka kwa mtu aliyefanya KAZI ngumu au kama stress zimejaa ukaenda kukojoa mwisho wa mkojo zinatoka hizo. Siyo ugonjwa huo ni kawaida tu usiogopeHabari Wana JF
Naomba anaefahamu hilitatizo linasababishwa na nn aniambie
Kwani kunawakati nikienda haja ndogo kujisaidia wakati namaliza zinatoka shahawa naomba msaada
Siyo shahawa mkuu,hiyo inaitwa Wadii. Ni kawaida tu Huwa zinatoka kwa mtu aliyefanya KAZI ngumu au kama stress zimejaa ukaenda kukojoa mwisho wa mkojo zinatoka hizo. Siyo ugonjwa huo ni kawaida tu usiogokua