Makanyagio
Senior Member
- Jun 25, 2009
- 125
- 30
Hivi ndugu zangu waislam niwapi naweza mpata shekhe aniombee mtoto wangu atokwe na mapepo yanayomsumbua? Hawa ndugu zetu wakristo nimeona mara kadhaa wakiombea watu na mapepo yanatoka lakini nasita kumpeleka mwanagu uko.