usifanye mchezo kubeba mimba usipotakiwa kubeba sio jambo rahisi hata kidogo.tena tubu naamini Mungu anasamehe kama bado unakumbuka ni mahubiri ya shetani kukurudisha nyuma.
mimi nikibeba mimba ya mtoto wangu wa kwanza sikua nimeolewa na nilikua nimemaliza form six hata majibu bado.sikua nimewahi lala na mtu ndio mara ya kwanza.sikujua imekuaje mpaka amenifanya maana nilikua namuogopa kidogo kutokana kwamba alikua giant na mimi nilikua na mwili mdogo.
aliniita kwa kaka yake nikaenda sijui ilikuaje nilikua nshavuliwa kila kitu na yupo katika harakati za kuniingia nilibishabisha ila shetani alinizid nguvu nikakubali.balaa lilianzia hapo.nilipata mimba nikasema nitaitunza maneno niliombiwa nyumbani bado nusu nijiue mpenzi aliikataa kabisa na pale kaka alihama nili attempt kujiua nikaogopa
nikapiga moyo konde ile mimba ilifika miez sita kwamisukosuko atlast ilitoka hakuna kitu kiliniuma kama hicho kwani nilishaaibika kwanini ilitoka ,jamani kama sio roho ngum mimba unatoa.suala sio kujiachia ili upate hata uwe responsible kiasi gani bahati mbaya zipo