Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,880
Naona hizi siku tatu topic za hewa chafu zinaongozana labda tuingie kwa ndani zaidi...
Kwetu hny.lve.byb akibahatika kutoa namwambia pole kwa kupumua
wachaga wanaita kijambo
kabila lenu mnaitaje
na kwa wanandoa wakitoleana hewa chafu mnaambianaje sie tunasema pole
Kwetu hny.lve.byb akibahatika kutoa namwambia pole kwa kupumua
wachaga wanaita kijambo
kabila lenu mnaitaje
na kwa wanandoa wakitoleana hewa chafu mnaambianaje sie tunasema pole