brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
mm mke wangu mtarajiwa mpaka boxer ananinunuliaNina rafiki yangu ana kazi nzuri tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba hela kama mara mbili hivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho huyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha huyo rafiki yangu kuwa siyo supportive, je wanaume ni sawa kuwa unaomba mkopo kwa girlfriend kila mara? Na wadada ni sawa kweli kumpa boyfriend hela au kushare biashara nae?
Teh pabaya mnoHahaha, nimegusa pabaya sio!!
Mimi mwenyewe kwa upande wangu sikubaliani na swala la kuanza kukopeshana na kushare biashara na mwanaume ambae siyo mume wako kila mtu afanye vtu vyake mwenyewe wanaume wengi cku hizi wanapenda sana mtelezo kuliko hata wadada
mwambie hasijaribu kutoa hiyo hela atakuja kujuta pesa hatorudishiwa ila Mme atapata mwingine mwanaume gani akurudishie hiyo pesa? tunasharega wapenzi bila kujua ila sio pesa aku sikupi hela yangu tho niko radhi kukupa zawadi sio pesa loh
weka akilinihahahaaaa najifunza miss chaga
Si sawa aiseee mwanaume kama sio mume wako si sawa kumpa hata kumi. Ni heri umnunulie vizawadi ila sio mara kwa mara. Unamnunulia hata baada ya miezi mitatu basi. Kumpa saport mtu ambae hujui future nae na kawaida wanaume wakiwa na girlfriend anaewapa hela basi anae anaemtunza so atachukua kwako atapeleka. Mwanaume anaheshim pale anapopahudumia hiyo Ni nature. Ukikazana kumpa jua Kuna anaetunzwa. Msaada Ni pale unaona anaugonjwa Au anatatizo kubwa ikibidi mwambie sina labda nikutafutie sehem utarudisha na akipata ahueni kaba sana arudishe.
Wanawake hawataki haki sawa ila wanataka usawa.
Kuna equity and equality
Equity ni kumpa mwanaume boxer na mwanamke chupi
Equality ni kuwapa wote boxer.
Hivyo duniani wanawake hawataki kitu kinachoitwa equality. Wanapenda kupendelewa.
Kama umeshakuwa na wanawake katika mahusiano ni karibia wote wana tabia zinazofanana. Mwanamke hapendi kutoa anapenda kuingiza..hahahaha kwa hiyo wanaume endeleeni kuwa hudumia tu. Hamna namna
Binafsi kukopeshana ni sawa,
Nahofia kusema siyo sahihi kukopeshwa pesa kwa sababu hujui kabisa maisha ya wengine na wayapitiayo,
Lakini kitamaduni za kikwetu daah Msichana kumlipia au kumkopesha B/frnd cash ni aibu,
Mwisho siyo vizuri kukatisha mahusiano kwa mambo ambayo siyo sahihi....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dada,wakati ujao uzingatie alama za kiuandishi.
Au mwenzetu MuAfghanstan? Yani umenifanya nisome mfululizo hadi pumzi ikakata
Wazimuuu tena!haahhaaaa nimekuelewa sana,ila una wazimuuu😀
Si sawa aiseee mwanaume kama sio mume wako si sawa kumpa hata kumi. Ni heri umnunulie vizawadi ila sio mara kwa mara. Unamnunulia hata baada ya miezi mitatu basi. Kumpa saport mtu ambae hujui future nae na kawaida wanaume wakiwa na girlfriend anaewapa hela basi anae anaemtunza so atachukua kwako atapeleka. Mwanaume anaheshim pale anapopahudumia hiyo Ni nature. Ukikazana kumpa jua Kuna anaetunzwa. Msaada Ni pale unaona anaugonjwa Au anatatizo kubwa ikibidi mwambie sina labda nikutafutie sehem utarudisha na akipata ahueni kaba sana arudishe.
Wazimuuu tena!
Eeeh hauna kakazi kazuri na mimi unikopeshemoo hata kalaki [emoji45] [emoji45]
Asante aseeh. Mume anapeleka kwa mchepuko. BTW mwambie rafiki yako wala siombi na kukopa pesa kwa KE..nahudumia mme tu now na mme ndio unatakiwa kumsaidia mana ni mwenzio sasa,pole asee