Kutoa hela kwa boyfriend

nikulize swali mleta Uzi...huyo jamaa alivokopa Mara ya kwanza hela Je aliirudisha?? na kama alirudisha kwanini hii ya pili asimkopeshe tena
 
nikulize swali mleta Uzi...huyo jamaa alivokopa Mara ya kwanza hela Je aliirudisha?? na kama alirudisha kwanini hii ya pili asimkopeshe tena
Mkuu rudia kusoma vizuri,demu anakazi nzuri.na jamaa ameomba hela kama Mara mbili na ajawai kupewa hata Mara moja
 
Dada,wakati ujao uzingatie alama za kiuandishi.
Au mwenzetu MuAfghanstan? Yani umenifanya nisome mfululizo hadi pumzi ikakata
 
Tatizo mmeshazoea kupewa na wanaume, mkiobwa ninyi mnashangaa mpk kuja kuuliza huku. Mapenzi ya kweli hayana mipaka
hata mimi namuacha siku hiyo hiyo. nimeomba unikopeshe sio unipe na nimekwambia nakupa mwisho wa mwezi na sijawahi kukuomba au kukuzulumu.

mbona miminakupa na sikudai? wewe kunipa na unidai kuna shida gani?
 
Naomba laki my tena unabana na pua,ukiombwa wewe unakuja mbio kulia huku,kwani haki sawa mlidhani ni kwa nguruwe?
Wanawake hawataki haki sawa ila wanataka usawa.
Kuna equity and equality
Equity ni kumpa mwanaume boxer na mwanamke chupi
Equality ni kuwapa wote boxer.

Hivyo duniani wanawake hawataki kitu kinachoitwa equality. Wanapenda kupendelewa.
Kama umeshakuwa na wanawake katika mahusiano ni karibia wote wana tabia zinazofanana. Mwanamke hapendi kutoa anapenda kuingiza..hahahaha kwa hiyo wanaume endeleeni kuwa hudumia tu. Hamna namna
 
Reactions: Aza
hata mimi namuacha siku hiyo hiyo. nimeomba unikopeshe sio unipe na nimekwambia nakupa mwisho wa mwezi na sijawahi kukuomba au kukuzulumu.

mbona miminakupa na sikudai? wewe kunipa na unidai kuna shida gani?
Utawaacha wengi ndivyo walivyo. (Japo kuna outliers)
Mwanamke anamshahara lakini anahongwa na bodaboda anaeingiza buku 3 kwa siku. Chuo wote mnamkopo asilimia sawa ila yeye anataka zako. Kwenye suala la uchumi mwanamke humtoi mzee...
 
Reactions: Aza

Alikuwa ananitumia, Wanaume hawako hivyo
 
Binafsi kukopeshana ni sawa,
Nahofia kusema siyo sahihi kukopeshwa pesa kwa sababu hujui kabisa maisha ya wengine na wayapitiayo,
Lakini kitamaduni za kikwetu daah Msichana kumlipia au kumkopesha B/frnd cash ni aibu,
Mwisho siyo vizuri kukatisha mahusiano kwa mambo ambayo siyo sahihi....
 
Ngoja afike 45 atatafuta wa kumpa mil 10, Sio wa kumkopesha.
 
Utawaacha wengi ndivyo walivyo. (Japo kuna outliers)
Mwanamke anamshahara lakini anahongwa na bodaboda anaeingiza buku 3 kwa siku. Chuo wote mnamkopo asilimia sawa ila yeye anataka zako. Kwenye suala la uchumi mwanamke humtoi mzee...
aiseee hatari sana
 
Usipokuwa na nidhamu ya pesa kwa hawa viumbe utashangaa upo pale pale...
kabisa aisee, ndio maana Biblia imetuamuru, tuishi nao kwa akili na tuwapende pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…