Kutoa hadharani siri zetu! Ina mantikk ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Si mara moja ama mbili ni mara kadhaa hapa mkekani, nimekutana na thread kibao membars wanajiumbua kwa kutoa SIRI ZAO NYETI NA CHAFU! . Utamsikia membar anasema ; mf.
> Nilitembea na na mtu na nduguye (wa toka'ntoke)
> Nilitembea na Baba/Mama mkwe >Nilighilibiwa nikatoa Tigo!.
Japokua Membars wengi twafahamiana kwa details bandia, na je? Ikatokea vya kutokea ikaja siku tukakutanishwa tutatizamanaje usoni ? Kukutana na aliekwisha liwa Tigo ? Nyuso hazitawashuka watu ?
Au kulishawahi toka tangazo Jf membars daima hadi kiyama hawatokuja onana?
Labda mie ndiyo sijajua umuhimu wa kujitangaza kama si kujidani siri chafu ?
Zipi faida maridhawa kufanya hivyo ?
Nini umuhimu wake?
Naomba kutoa hoja!
 
Mbaya ni ile ukute mtu wako na yeye ni member, alafu umetoa bonge la secret......heheh ngoma inogile ile!!
 
Mbaya ni ile ukute mtu wako na yeye ni member, alafu umetoa bonge la secret......heheh ngoma inogile ile!!

KIsweet! Asante kwa contribution ! Apart from it am too suprise kukuona upo kitaa now times, niulize kwa nini ? Sababu mara nyingi hata durin' day light hua wapatikana Kiduuuchu! Aaa nimekumbuka itakua sababu ya mwaka mpya! Labda!
 
Ni vema ujue kua jambo lolote linalo umiza moyo au ambalo sio lakawaida ukiliweka sana moyoni unazidi kuharibikiwa au kuumia plus plus so ni vema kuliweka hadharani ili kupata nafuu, na hapa jf ndo mahali sahihi.

Kheri ya mwaka mpya wana jf wote!
 
Thanks! Then pouuuwa!
 
Story nyingi zinatungwa na hazina ukweli wowote.hii ni kutaka kuonesha kuwa kila mtu ni mkali katika mambo yetu yale!
 
KIsweet! Asante kwa contribution ! Apart from it am too suprise kukuona upo kitaa now times, niulize kwa nini ? Sababu mara nyingi hata durin' day light hua wapatikana Kiduuuchu! Aaa nimekumbuka itakua sababu ya mwaka mpya! Labda!

Habari ya wewe Mr. Judgement?? Kheri ya mwaka mpya! Mie nipo kwa uchache sana siku hizi, heheh kahela ka bundle kameadimika labda hii new year nitapata walau vinjuluku......lol!!!
 
Back
Top Bottom