Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
hahahah...! Habari za mwaka mpya Husninyo, shamlashamla zinakwendaje???
mwaka ushaanza kutoka nduki. Sasahv tunaimaliza siku ya kwanza.
hahahah...! Habari za mwaka mpya Husninyo, shamlashamla zinakwendaje???
Husn ! Mwanichakachulia bila hata aibu! Wewe na shost wako Kipipi ! Ukisikia wa Mbuzi ndiyo kama huu uso!
Nakuruhusu sio kutoa tu we Mwaga! Utaanzia na za mchana au za usiku ? Au za mchanausiku ? Funguka !