Kutoa chakula kwa yatima mbele ya kamera ni uzalilishaji

Wewe unapoenda kusaidia, unaangalia hilo, ila Hizi taasisi, na baadhi ya watu, wanaenda kwa moyo wao tu, hawaangalii sana mambo ya Dini, alafu wapiga kelele wengi hatutoi. Kumbuka binadamu tumegawanyika na kila atowae ana malengo ya mbele ya Mungu na jamii, sisi tushukuru kwakua wanatoa.
Hapo hakuna win_win bali win_lose. Unatia kiduchu kwao kwa siku moja kisha wewe unatarajia kupewa kingi kwa miaka mingi. Huku ukiwa umeshamdhalilisha mtoto kuwa yeye ni mlemavu, yatima, nk kwa mlo wa siku moja tu. Tena huondoki mpaka upige nao picha wakiwa wamekunguuka na kuonyesha mapungufu yao
 
Mungu ndiyo mwenye uwezo wa kumuona mtu, mpaka moyoni, naona tumwachie yeye.
 
Yaani tabia hii inanikera sana hasa wasanii kwani ukitoq kimya kimya kuna nini mungu ndie anaekuiona
 
Nitue huo mzigo maana nimeenda Amana Bank wanakuambia hawakopeshi kwa riba ila wanataka asilimia ya faida
Hapa wanajichanganya, maana hata wale wanaotoa riba ni kwamba hiyo riba inapatikana baada ya kufanya biashara na kupata faida, hiyo faida ndo wanayogawana na wewe kwasababu ya kutumia fedha zako kw kufanya biashara. Kwahiyo hakuna tofauti kubwa kati ya faida na riba kibenki. Ila riba isiyofaa ni ile ya kumpa mtu hela yako sh. 100000 ili akamamalize msiba wa ndugu yake kwa makubaliano kuwa arejeshe sh. 120000 ilihali yeye hakufanyia chochote hela yako uliyomkopesha zaidi ya kumaliza msiba wa ndugu yake tu.
 
Ukikopa matumizi unapanga mwenyewe lakini. Kwa Wakristo riba inakatazwa kwa Ndugu na Rafiki hapo hakuna unafiki ukimpa kumi anarudisha kumi
 
Back
Top Bottom