Kutishiwa kupigwa risasi...naomba msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutishiwa kupigwa risasi...naomba msaada

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by JUKUMU, Sep 19, 2012.

 1. JUKUMU

  JUKUMU Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wanajamii, mimi ni mfanya biashara maeneo ya Arusha. Nimekuwa nikipewa vitisho vya kila aina hasa vya kupigwa risasi siku yeyote, nikariport police, ila nilichoambiwa kwa kweli kinakatisha tamaa. yaani police anakuambia hakuna ushahidi ama kielelezo cha kufuatilia hilo swala. Cha kushangaza zaidi niliwapa mpaka namba za simu pamoja na sms nilizotumiwa ila wakasema kwa kuwa me nataka kumfunga mtu. Nikajaribu kumtumia huyo mtu pesa kama amejisali ili nijue ni nani, ili namba haijasajiliwa.Je nitumie njia gani ili kuweza kumjua huyo mtu? jamani naomba ushauri wenu, nakosa amani kabisa.
   
Loading...