Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Si umeelewa lakiniEnd month or Month end?!
Huyu ni Mimi kabisa ila mwezi huu lazima nitoke
Sijaelewa ndio maana nimeuliza. Yaani anataka kuanza mwezi wa mwisho aka december au mwisho wa mwezi aka tarehe 28...29...30...31?Si umeelewa lakini
Utoke wapi? Out?Huyu ni Mimi kabisa ila mwezi huu lazima nitoke
Sasa we unategemea mbwa ataongea lugha kiufasaha kama binadamu?End month or Month end?!
End Month-mwezi wa mwisho
Month End-mwisho wa mwezi
Aisee...!Sasa we unategemea mbwa ataongea lugha kiufasaha kama binadamu?
Just a joke ... si unajua tena hili jukwaa?Aisee...!