Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 22,753 Reaction score 27,477 Jun 4, 2015 #1 Tunajifunza nini katika methali hii? My take;- Tuijadili!
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,801 Jun 4, 2015 #2 I think about more than I forget
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,259 Reaction score 7,108 Jun 4, 2015 #3 Crocodiletooth said: Tunajifunza nini katika methali hii? My take;- Tuijadili! Click to expand... Katika siasa zetu tz ,wapinzani inabidi wakubali challenge , hakuna kuitana wasaliti challenge inapokuja ..
Crocodiletooth said: Tunajifunza nini katika methali hii? My take;- Tuijadili! Click to expand... Katika siasa zetu tz ,wapinzani inabidi wakubali challenge , hakuna kuitana wasaliti challenge inapokuja ..
Chakochangu JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 2,668 Reaction score 2,174 Jun 5, 2015 #4 Jambo ulilozoea kufanya,na kuliona la kawaida kuna siku litakufedhehesha, au kukuumiza. Yaani uwe na adhali kwa Kila jambo,tukio, kazi au kitu chochote unachofanya. Taadhali kabla ya hatari. Usiamini Kila kitu.
Jambo ulilozoea kufanya,na kuliona la kawaida kuna siku litakufedhehesha, au kukuumiza. Yaani uwe na adhali kwa Kila jambo,tukio, kazi au kitu chochote unachofanya. Taadhali kabla ya hatari. Usiamini Kila kitu.
Chakochangu JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 2,668 Reaction score 2,174 Jun 5, 2015 #5 Nje ya mada: Naomba kueleweshwa maana ya neno My Take.
I ikisimama panda JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 2,727 Reaction score 2,418 Jun 5, 2015 #6 Chakochangu said: Nje ya mada: Naomba kueleweshwa maana ya neno My Take. Click to expand... chukulia poa
Chakochangu said: Nje ya mada: Naomba kueleweshwa maana ya neno My Take. Click to expand... chukulia poa