Kuteswa na mapenzi mwisho miaka mingapi?

acha ujinga wewe.....
 
Sasa kijana wa miaka 29 una kilo 97 halafu kifupiiii it's obvious ukipiga tako 2 unakojoa na kuhema juu juu na huwezi tena kurudia round ya pili huku ukimwacha mwanamke wako akiwa na minyege yake.

Fanya mazoezi dogo upunguze minyama zembe na uwe imara kitandani
 
Unatokea tanga unateswa na mapenzi kweli mara ya mwisho kusikia mtu wa tanga kajiua kisa mapenzi ni lini we sio mtanga itakuwa ni muha kama ulivyosema.
 
Sorry lakini! tatizo wewe ni mshamba
 
Huna nguvu za kiume mzee ndio maana unagongewa

Kulo 97 halafu mfupi maana yake una uzito mkubwa wa ZIADA ambapo utafeli tu kwenye shoo
Na kuna nyuzi nyingi tu analalamika ana kibamia na pia anakojoa haraka kama jogoo, pia hawezi kurudia tendo, sasa kwa hilo kwanini asigongewe, badala atibu matatizo yake, analalamika.
 
Yan umefanya ku under hadi_0 ila washez washatupia goli mbili first half...nenda gym upunguze uzito..huo ubonge humsugui vzur huyo mwanamke...unampaka jasho tu kama wanawake wengi wanavyojinasibu
 
Mtoa mada hapo utakuwa unafanana na gunia la chumvi, punguza huo mwili, kisha hama hapo, maana mtaa mzima wamezoea kukuchapia, utakuta washajua kabisa una kibamia na nguvu za kiume huna, kama tako mbili tu unakojoa, unategemea nini.
 
Wewe bado hujaanza. Sababu inaonekana hata balehe bado!

Haya nani amekuambia “o” na 0” ni kitu kimoja?
Hata mimi kanishangaza pia, ila labda amevurugwa huyu afsa, kumlea malaya ni kazi sana akili zimemruka aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…