Kuteswa na mapenzi mwisho miaka mingapi?

1.Hizo 0 badala ya o
2.Ufupi
3.ubonge wa kilo 97
4.Nina uhakika chini ni sh.100
5.........em jipende mwenyewe tafadhali utaumia...binadamu tuna ubaguz sana....ni sawa na wewe ungekuwa mrefu,dudu ndefu,una pesa....huyo singld mom usingeishi nae kabisa.
 
Kilo 97 halafu mfupi jumlisha urojo wa kitangatanga unategemea usigongewe?, hizo kilo punguza acha kula hovyo hovyo.
Halafu kingine; Acha utoto, mwanaume huwezi kuja kulia lia mtandaoni pasipo kufanya maamuzi. Mm km mm siwezi kulea mwanamke na vifurushi vyake halafu ningongewe, fukuza hao mbwa kwako maana udhaifu wako ashaujua.
 
Umesema mbwa?
 
Kwanza warangi hawajui kunyima utamu... Kosa la pili umeoa singo maza tena ana vifaranga viwili tena vinasoma... Kosa la tatu hukujua warangi wanaroga wanaume sana... Kosa la nne wewe ni mwanaume uliyekubali kuwa mpumbavu...
Naona kila dalili utakuja kujitoa uhai mbeleni... Nakushauri achana na wanawake, wazalishe then wakae mbali na wewe... Mdogo angu wanawake watakuua wanawake watakupa kisukari na presha... Mdogo una moyo mdogo sana achana na wanawake achana na ndoa...
KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI
 

haya mambo sio ya kuchekana ila nicheke kwanzaa


Nawakumbusha “kama unataka mwingine akupende basi anza kujipenda wewe” yan jipende mpaka mtu akikwambia huwezi kupata mtu kama mimi unaishia kucheka afuu unamwambia duniani kuna watu 8Billion wewe wa kazi gani
 
una miaka 29 halafu una kilo 97 aisee wewe ni kifurushi cha mahindi utagongewa tuuu
 
ushaonyesha uzaifu kwa huyo manzi wako,na asha kuweka kwenye kumi na nane zake huchomowi we endelea kuwa msukule wa kulea familia yake
 
Mkuu nakazia hapo kwamba warangi ni tatizo sana,..sijui wana pepo la ngono
 
Kilo 97 mkuu afu mfupi unategemea usigongewe mwanamke wewe umekua mungu. Fanya mazoezi sana upungue uzito hadi kilo 70 ama chini ya hapo, kingine tafuta pesa and kama hauwezi kupeleka moto wa sawasawa kwa shemeji basi utafute mwanamke nje huko tena sio mwanamke tafuta wanwake akijua sio ishu kwake ataanza kuona wivu and ataacha kugongwa atumie mda mwingi kukufuatilia we gonga ovyo tu hadi majirani hakuna mwanamke anaweza kulivumilia hilo. Kama una beki 3 pia chapa iende tena ugonge wanawake ambao ni wakali na waschana wadogo kuliko yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…