Kuteswa na mapenzi mwisho miaka mingapi?

Kumbe n0w sina akili eeh..
Sio kwamba huna akili huu unana wako ndo mzuri wa kujitafutia maisha kwanza mkuuuuu hayo mambo utakutana nayo huko 45+ utakuwa na hekima zaidi na utakuwa umejifunza mengi maishani 29 ni umri mdogo sana kulilia mapenzi mkuuu
 
Shida imeanzia ulipo mdate singo Maza tena watoto wawili na ww ni kijana tafuta mwanamke binti,pia mnapenda sana warembo kimuonekano wakati hao ndio wagongwaji mabinti wakawaida wapo waliotulia kitu mnato mnahangaika na matatizo pambana.
 
one man down, one man down! Aise umepagawa na nini kijana?

Mental illness is real walah


Na kwa vile umechagua 'Jela ya Mapenzi' basi sisi wananzengo hatuna la kuongeza maana huenda ndipo ilipo furaha yako. Endelea kusubiri sumu igeuke asali!
(Credit to C-sir, Kifungo Huru
)
 
Huna nguvu za kiume mzee ndio maana unagongewa

Kulo 97 halafu mfupi maana yake una uzito mkubwa wa ZIADA ambapo utafeli tu kwenye shoo
 
Hahahaaa...... Nimependa mstari wa mwisho, kama Eze yuko humu unaomba aachane na mkeo.

Pole sana mkuu. Ila nahisi kama una kibamia.
 
Huna nguvu za kiume mzee ndio maana unagongewa

Kulo 97 halafu mfupi maana yake una uzito mkubwa wa ZIADA ambapo utafeli tu kwenye
 
Wewe mdigo wawapi unashindwa kumtuliza mwanamke? Acha kututia aibu kijana.
 
Nasikizaga sana hii ng0ma aisee..
 
Acha ugongewe tu kilo 97 za nini zote?
 
Dah! Mimi nimeishi nikijua wavulana wote wa hivi maana we haujawa mwanaume bado walipelekwa na kumalizwa na lile gharika wakaisha kumbe wapo??

Enewei, TAFUTA PESA, TAFUTA PESA, TAFUTA PESA kijana mapenzi utayatesa baada ya kukutesa
 
Shida imeanzia ulipo mdate singo Maza tena watoto wawili na ww ni kijana tafuta mwanamke binti,pia mnapenda sana warembo kimuonekano wakati hao ndio wagongwaji mabinti wakawaida wapo waliotulia kitu mnato mnahangaika na matatizo pambana.
Kama nishakuwa na0 sana amba0 hawana wat0t0 ila mwend0 wa kuumizwa vile vile tu hakuna cha afadhali...nikahisi kwa huyu sing0 maza ana akili cuz kapitia mengi ila hakuna kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…