miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Na akirudi ni wa kukimbizaHuwa hawapatagi amani kabisa. Nina mfano hai, jamaa aliacha mwanamke aliyeishi nae na kumzalisha. Akaenda akaoa tena kwa ndoa. Baada ya miezi kadhaa akaanza kurudi kwa baby mama wake [emoji3][emoji3]. Alichokitarajia kwenye ndoa mpya hakukipata. Akamkumbuka zilipendwa wake. Huyu mleta mada mwache aende akaoe upya, atakuja na mrejesho wa kuteseka ndoani. Machozi ya mwanamke hayajawahi kumuacha mwanaume salama.
Mpaka uliamua mwenyewe kwenda mumtolea barua na posa. Hujalazimishwa na mtu.Hapa nd nachokaga na wanawake, mnapenda kuolewa lakini hamjiongezi hata chembe. Unakuta huyo mtu umemtolea barua kama mdau hapo juu na umezaa naye lakini hana support na wewe hata ukimpigia simu usiku kwamba unaumwa haonyeshi kujari wala hana muda. Kuna siku moja niliwai kumpima wangu kwa kumwambia nahitaji elfu 50 urgently alinikwepa kwepa zen huyo nd unataka uingie naye mkataba kulala uchi maisha.
Kuna mabinti wazuri sema wengi wenu vuvuzela sana na hampendi wazazi wa upande wa kiume hasa mkigundua au kuona familia hiyo ni fukara au inamaisha standard. Mimi namsupport mdau hapo mtu anahitaji ndoa kama hataki vile kisa ushazaa naye.

Miaka mitatu umemgegeda sasa umepata KE mwingine huna hisia naye tena! Hujatia neon lolote kuhusu mwanao na sidhani hata unajali kuhusu huyo mtoto. Tia akili kichwani uoe huyo binti. Tafuta hisia zitakuja tu acha utoto!
We only have ONE life to live..only ONE!! Watu wamezoea kuwa na watu kwasababu ya mazoea au watoto.. It might be complicated lkn sidhani kama ni sahihi.Habari wapendwa,
Hivi inawezekekana kuvunja uchumba kwa mchumba ambaye umemtolea barua ya uchumba? Kama jibu ni ndio, upi ni utaratibu wa kufuata?
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kwa miaka mitatu na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja.
Miaka miwili iliyopita nilimtolea barua ya uchumba na ikajibiwa ila kwa kweli kwa sasa nimekosa kabisa hisia naye na naona ni bora kila mtu achukue ustaarabu wake kuliko kuendelea kupotezeana muda.
Naombeni ushauri nini nifanye kwa maslahi ya pande zote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa tena mende lile kubwa jeusi linaitw komba mwiko