Habari wapendwa.
Hivi inawezekekana kuvunja uchumba kwa mchumba ambaye umemtolea barua ya uchumba? Kama jibu ni ndio, upi ni utaratibu wa kufuata?
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kwa miaka mitatu na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja.
Miaka miwili iliyopita nilimtolea barua ya uchumba na ikajibiwa ila kwa kweli kwa sasa nimekosa kabisaaa hisia naye na naona ni bora kila mtu achukue ustaarabu wake kuliko kuendelea kupotezeana muda.
Naombeni ushauri nini nifanye kwa maslahi ya pande zote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachokisema ni kweli. Shida inakuja family yake watanichukuliaje na barua nilishatoa?Kama mwanamke simtaki huwa namwambia tu....bora uonekane mbaya kuliko kumpotezea muda mtu.
Huwa nkishakwambia ukweli nakata mawasiliano ili upate reality sio leo tunaachana kesho tunaanza kuchat sijui kupigiana cmu
Ebabah . . ,Habari wapendwa.
Hivi inawezekekana kuvunja uchumba kwa mchumba ambaye umemtolea barua ya uchumba? Kama jibu ni ndio, upi ni utaratibu wa kufuata?
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kwa miaka mitatu na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja.
Miaka miwili iliyopita nilimtolea barua ya uchumba na ikajibiwa ila kwa kweli kwa sasa nimekosa kabisaaa hisia naye na naona ni bora kila mtu achukue ustaarabu wake kuliko kuendelea kupotezeana muda.
Naombeni ushauri nini nifanye kwa maslahi ya pande zote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri ni miaka 30 wake 24.Ebabah . . ,
Una umri gani . . ? Na mchumba wako ana umri gani . . ?
Umesema huyo ni mchumba wako . . . 1. Unae miaka 3 . .
2. Una mtoto 1 nae . .
3. Umepoteza hisia nae . .
Maswali ya kujiuliza . . ,
1. Kwani mwanzo ulimpendea nini, ni HISIA, TABIA, UZURI, ELIMU, UCHA MUNGU, PESA, "K" tamu . . , ama nini hasa . . ?
2. Jee, vigezo ulivyompendea mwanzo, kwa sasa hanavyo tena . . ? Vimepungua kiasi gani . . ?
3. Jee, UKIMWACHA huyo , unakwenda kutafuta mwanamke mwenye viwango au vigezo hivyo hivyo, au zaidi, au pungufu, au hutaki kuoa tena, au unataka KUOLEWA . . !
4. Jee, baada ya kumwacha huyo mchumba wako na MTOTO wako (au sio wako ?!) , una UHAKIKA wa kupata kitu kizuri zaidi, mtoto mwingine, na ukabaki SALAMA zaidi . . ?
5. Jee, unamwacha huyo mchumba wako kwa sababu wewe pia huna VIWANGO vya kuwa nae, una hisi hutaweza KUMMUDU baadae . . ?!
6. Ndoa hutengenezwa na watu wawili, MTU mke na MTU mume, jee . . , huu uamuzi wa kuachana nae, ni HISIA zako peke yako au mmeshazungumza na mkakubaliana SABABU za kuachana . . ?!
Nijibu maswali haya, halafu nitakushauri . .
Sent using Jamii Forums mobile app
C vyema kumuacha icpokua angalia wapi kuna kasoro urekebishe na kama kuna mgogoro kati yenu tatua,,,,muendelee na maandalizi ya ndoa,,,,huckimbie tatizo bali tatua tatizo,,,,,,,tumia busara ili Mtoto wenu apate malezi yenu kwa pamoja mkiwa pamoja,,, Mungu akupe busara ktk hili.Habari wapendwa.
Hivi inawezekekana kuvunja uchumba kwa mchumba ambaye umemtolea barua ya uchumba? Kama jibu ni ndio, upi ni utaratibu wa kufuata?
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kwa miaka mitatu na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja.
Miaka miwili iliyopita nilimtolea barua ya uchumba na ikajibiwa ila kwa kweli kwa sasa nimekosa kabisaaa hisia naye na naona ni bora kila mtu achukue ustaarabu wake kuliko kuendelea kupotezeana muda.
Naombeni ushauri nini nifanye kwa maslahi ya pande zote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umezungumza nae kuhusu matarajio yako kwake, mapungufu na mwenendo mzima wa mahusiano yenu.Umri ni miaka 30 wake 24.
1. Nilimpenda kwa hisia kabisaaa but sasa imekuwa tuko kwa mazoea tu ule msukumo wa mapenzi kutoka ndani umekata kabisa.
2.Naweza sema vimepungua cse mahitaji na nyakati haviko sambamba. Matarajio yangu kwake ni kama hayapo maana ujuavyo mke au mume anatakiwa kuwa multipurpose maana ndoa ni zaidi ya kuwa watoto na kulala pamoja.
3.Nadhani natakiwakiwa kuwa selective zaidi kupata yule ambaye ataweza kuwa multipurpose kwa angalau hata 75% ili nami niweze kufurahia mahusiano kuliko ilivyo sasa maana najikuta kama nipo mwenyewe kuanzia ushauri, financially na mengineyo na imefikia wakati naona ni bora kuwa single kuliko kuonekana upo na mtu kwenye macho ya watu wakati nafsi ipo single.
4. Mtoto ni wangu. Naamini naweza pata kitu kizuri zaidi na mtoto tayari ninaye. Usalama naona utakuwepo maana hata kama sitapata kizuri zaidi lkn nitakuwa single na furaha kuliko kuendelea na hii unhappy relationship.
5. Sihisi kushindwa kummudu ila ninaona kuendelea naye ni kuja kukosa ile support ya mke ambayo mimi naitarajia kutoka kwake kwani naanza kuyaona hayo mapema.
6.Bado sijazunguza naye kuhusu kuachana na bado napata wakati mgumu kulieleza hilo kutokana na sababu nilizozieleza kwenye mada. But yeye pia ameanza kuona tofauti kwangu maana ki ukweli nimepoteza furaha kabisa kwenye hii relationship.
Ushauri wako tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ningemgeuza mendeHaya sasa wanawake wakiwa single mother mnaeatukana we katisha tu huo uchumba ila jua chozi la huyo mdada halikuachi huru umempotezea mda umemtumia kama mkeo hadi mkapata mtoto leo hii bila mship wa aibu unataka ku mwaibisha pia kwa familia yake kwa kukata uchumba eti kila mtu ustarabu wake laiti ningekuwa MUNGU watu kama wewe ngekugeuza bata mzinga
IRON LADY!!!!
Habari wapendwa.
Hivi inawezekekana kuvunja uchumba kwa mchumba ambaye umemtolea barua ya uchumba? Kama jibu ni ndio, upi ni utaratibu wa kufuata?
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kwa miaka mitatu na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja.
Miaka miwili iliyopita nilimtolea barua ya uchumba na ikajibiwa ila kwa kweli kwa sasa nimekosa kabisaaa hisia naye na naona ni bora kila mtu achukue ustaarabu wake kuliko kuendelea kupotezeana muda.
Naombeni ushauri nini nifanye kwa maslahi ya pande zote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani ni sahihi kuuumiza nafsi yangu for the rest of my life sababu tu tumezaa?Miaka mitatu umemgegeda sasa umepata KE mwingine huna hisia naye tena! Hujatia neon lolote kuhusu mwanao na sidhani hata unajali kuhusu huyo mtoto. Tia akili kichwani uoe huyo binti. Tafuta hisia zitakuja tu acha utoto!