rashid akida
Member
- Mar 5, 2013
- 6
- 1
wadau wenzangu nilikuwa nauliza kama kuna mtu ambaye anajua kutengeneza vitu vya 3d kama magari au chumba anisaidie kuniambia program ambayo anatumiaga nina project kubwa n nimekwama kwenye hilo help plzz:crying::crying::crying: