Gongo ni spirit ndio. Unaweza kutengeneza spirit kwa kufanya fermentation, kisha unafanya Fractional distilation kuongeza concentration yake. Hii ndo kazi ya mtambo wa Gongo. Google how to make alcohol utapata instructiona kamili.
Spirit ya hospitali pia inaongezewa methyl alcohol hii ndo inayokupofua unapoinywa hii inaongezwa makusudi ili watu wasiweze kunywa alcohol za hospitali ambazo zinatozwa kodi ndogo kuliko alcohol za kunywa.
Kufuatana na biashara unayotaka kufanya kunaweza kukawa na standards ambazo inabidi ufuate.