Kutengeneza spirit

lukenza

Senior Member
Apr 11, 2010
120
8
Jamani kuna anayejua ni jinsi gani ninaweza kutengeneza Spirit kwa ajili ya biashara

Je ni kweli kuwa gongo ni spirit pia
naomba mchango webu jamani
 

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
723
309
According to chemistry gongo ni spirit in composition kwasababu zote ziko katika group moja ya hydrocarbons ziitwazo Alcohol.Tofauti yake ni kwamba gongo ina impurities(aina fulani ya uchafu na kemikali zisizotakiwa) lakini spiri yenyewe ni pure alcohol kabisa.Gongo yaweza kutumika kama spirit katika sehemu ambazo spirit haiwezi kupatikana kabisa.Lakini kwa ushauri wangu wa kitaalamu zaidi gongo haifai kutumika kama spirit kwani inaweza kuleta side effects za ajabu kutokana na impurities zake.........
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,287
1,833
Gongo ni spirit ndio. Unaweza kutengeneza spirit kwa kufanya fermentation, kisha unafanya Fractional distilation kuongeza concentration yake. Hii ndo kazi ya mtambo wa Gongo. Google how to make alcohol utapata instructiona kamili.

Spirit ya hospitali pia inaongezewa methyl alcohol hii ndo inayokupofua unapoinywa hii inaongezwa makusudi ili watu wasiweze kunywa alcohol za hospitali ambazo zinatozwa kodi ndogo kuliko alcohol za kunywa.

Kufuatana na biashara unayotaka kufanya kunaweza kukawa na standards ambazo inabidi ufuate.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom