Kutengeneza incubator

Naam kikundi cha YEA groups kinapenda kutoa mafunzo ya utengenezaji incubator za aina zote , kwa teknolojia rahisi sana
Hapa mafundi wakiunda incubator kwa njia rahisi


Mashine hapo juu imeanza kazi

Ni full automatic
Mrejesho mashine imefanyiwa majaribio na iko tayari

Hao ni vifaranga walioanguliwa asilimia ya uanguaji ni 90%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…