Kutengeneza incubator

kinsakina

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,255
Reaction score
1,186
Naam kikundi cha vifaranga groups kinapenda kutoa mafunzo ya utengenezaji incubator za aina zote , kwa teknolojia rahisi sana
Hapa mafundi wakiunda incubator kwa njia rahisi


Mashine hapo juu imeanza kazi

Ni full automatic
 
Kikundi hiki kipo wapi? Jaribu kuongeza taarifa ili watu wapate text itakayo wasaidia kujua masuala hayo ya ufundi incubator.
 
Tujulishe mkuu hicho kikundi Niko wapi ili nasi tufaidike na huo utaaram
 
tumehamia dodoma,tuko dodoma,taarifa zaidi zinakuja
 
Kinsakina ndo umeenda mazima watu tuko serious na Hii issue
 
Kinsakina ndo umeenda mazima watu tuko serious na Hii issue
Nipo Mkuu,lengo ni kuwasadia watu wanaotaka kutengeneza incubator na ufugaji wa kuki kwa ujumla ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…