Kutembelea SCOAN

Hatua za kukutana na Mungu:
1. Kuwa msomaji wa neno la Mungu na kulitafakari kila siku.
2. Kuwa mtu wa maombi na shukrani, penda kuomba na kumwambia Mungu shida zako
3. Acha dhambi, dhambi zinakuweka mbali na Mungu. Huwezi kutaka kubarikiwa na kukutana na Mungu wakati huo huo ni mlevi, mgovi, msengenyaji, mwizi wa waume za watu n.k
ANZA NA HAYO UTAKUTANA NA MUNGU HUNA HAJA YA KUPOTEZA HELA KWENDA NIGERIA WALA KUNUNUA MAJI YA UPAKO. MUNGU YUPO KILA MAHALI HATA HAPO ULIPO NI UTAYARI WAKO TU.
BARIKIWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Andaa uzi wa ujasiri na kutokuwa na hofu kisha ulete jamvini kwa faida ya wengi!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…