Kutembelea Rwanda

Kutembelea Rwanda

Status
Not open for further replies.
Biashala zinafanyika na usalama upo wa kutosha wawekezaji wengi wanakuja na wanapokelewa vizuri bila tatizo
 
Poa, nitakua huko kwa wiki 2 tukionana sio mbaya
 
Kuna demand ya biashara gani Rwanda
 
Nakuja tarehe 2 January nitumie no yako PM.
 
Na ujue kila kitu tunachoagiza nje kinapitia kwenye nchi nyingine ili kifike kwetu
 
Unajua Rwanda kila kitu tunaagiza nje hatuna bahari kwa hiyo utakachofanya chote utafanikiwa ila unatakiwa ufuate utaratibu wa kufanya biashara hku
Hata kwa mwana East African mwenzenu kuna hinders ya kufanya biashara?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom