Kutembea wawili wawili

Nijuze wanajukwaa,hivi mume na mke kutembea barabarani wakiwa pamoja( wakati mwingine wamempakata mtoto)',kanisani wote, mvua au jua wore in UPENDO WA DHATI AU DANGANYA TOTO!!!
upo kwenye ndoa ?
 
mkuu ni upendo wa dhati japo haina maana hakuna changamoto atika upendo huo.. kuchukiana kupo ila mnasamehena mnaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…