Pamoja sanaaHahahaa! Hapana Mkuu, hiyo ni moja ya style tu ya kumrekebisha mtu au kumuuliza kitu, na inatumiwa na wengi tu ni kawaida humu,
unajua kuna aina fulani ya lugha ya uulizaji maswali utaipata JF tu!!
JF ipo kwa kufundishana na kurekebishana,
One love.
Mmhh na mimi pia natamani kweli kufanya ivyoo..... Njoo basy tufanye wotemi sijui kama ni upendo wa dhati au lah ila huwa nawaona sana watu weng wako ivo na huwa nataman nakupenda siku moja namim nifanye ivo ambapo kwangu mi itakuwa ni upendao wa dhati kati yangu na my wife.
ah...vzur mkuu,mepata w kutmbea nawe ivo..ready to goMmhh na mimi pia natamani kweli kufanya ivyoo..... Njoo basy tufanye wote
Kwa mtazamo huu basi wanaume wa ki-nigeria (na wanaume wengine wa nchi za Afrika Magharibi) wengi wao wametawaliwa na wake zao maana ndio zao kuvaa sare na wake zao!Ni kutawaliwa kwa mwanaume
Wee jamaa mchokozi duuuhKwahiyo na hapo kwenye red unawasubiri hao wajuvi waje warekebishe pia?
Duhhhh umekuwa kifimbo cheza jamani??[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwahiyo na hapo kwenye red unawasubiri hao wajuvi waje warekebishe pia?
Asipokuja niite mimiMmhh na mimi pia natamani kweli kufanya ivyoo..... Njoo basy tufanye wote
Kama uliniona jana na wife na mwanetuOngezea na kule kushona sare za gauni la kitenge kwa mwanamke na shati la kitenge hicho hicho kwa mwanaume. Na kama wana watoto wadogo na kitenge kinatosha na watoto nao wanaambulia mashati ya kwenda nayo kanisani.
Hiyo ni kweliKwa mtazamo huu basi wanaume wa ki-nigeria (na wanaume wengine wa nchi za Afrika Magharibi) wengi wao wametawaliwa na wake zao maana ndio zao kuvaa sare na wake zao!
Mkuu ivi bado unafundisha somo la kemia mjini iringa.mi sijui kama ni upendo wa dhati au lah ila huwa nawaona sana watu weng wako ivo na huwa nataman nakupenda siku moja namim nifanye ivo ambapo kwangu mi itakuwa ni upendao wa dhati kati yangu na my wife.
Sawa ntakuita..... Lkn ukija usisahau wallet na card zako za bank sawa eeeeAsipokuja niite mimi
hahaha......tayar nipo nae mim mkuu.nimeenda tehAsipokuja niite mimi
Wallet yatosha card inabaki sili kaliSawa ntakuita..... Lkn ukija usisahau wallet na card zako za bank sawa eeee
haha...amna mkuu,sikupata shule ya kufundisha ila nilifanya tu field yang pale mjini iringa nilimaliza,tunaendlea na mambo mengne now.Mkuu ivi bado unafundisha somo la kemia mjini iringa.
Hongela mkuuhahaha......tayar nipo nae mim mkuu.nimeenda teh