Kutekwa kwa Mo: IGP Sirro aonya wanaopingana na maelezo aliyoyatoa juu ya ulipofikia uchunguzi


Unahitaji kuwa na akili ya mwendawazimu kuamini anachosema Sirro. Wazungu, ambao ndio alisema walihusika, walikuja nchini na AK 47 kutoka kwao. Nadhani walizipitisha airport, au labda walikuja kwa mtumbwi.

Pia hao watu walijaribu kuchoma gari wakashindwa? Hilo gari linatumia mafuta ya maji?
 
Haya maswali yako kawauliza Leo bosi wao wamebaki wanatoa macho tu kama mijusi kafiri. Sijui yeye hakuona katazo la Sirro kuzuia watu kuchallenge tamko lake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…