Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Maswala mengi kuliko majibu.Katika hafla ya kuwaapisha mawaziri na na polis walioteuliwa, leo Raisi amedokeza kuhusu ukimya wa tukio la kutekwa kwa Mo Dewji.
Amesema, "Jeshi la Polisi linatakiwa kuelewa kuwa Watanzania sio wajinga, kama suala la kutekwa kwa Mo Dewji linaacha maswali. Tuliambiwa alitekwa na wazungu lakini lilipoisha haikueleweka, mwishoni aliyetekwa alionekana anakunywa chai na Mambosasa
Tulioneshwa nyumba na dereva lakini hadi leo hakuna aliyepelekwa Mahakamani. Hata kama Watanzania watanyamaza lakini mioyo yao haitakuwa 'clear'. Mambo haya yanalitia doa Jeshi la Polisi."
Hii ni TAA NYEKUNDU!
Lakini je, vipi kuhusu kesi za kutekwa Roma?, Mwenyekiti wa Halmashauri Kibondo Mr. Kanguye?, Mwana Habari Azory Gwanda? na wengine kesi zao zimefika wapi?
Vipi kesi ya kupigwa risasi Tundu Lissu, upelelezi umefika wapi? Anasubiriwa arudi TZ?
Asitake kujisafisha hata yeye awajibike,maswali ni mengi tumetulia nayo mioyoni siyokuwa tumesahau bali tunajua !Katika hafla ya kuwaapisha mawaziri na na polis walioteuliwa, leo Raisi amedokeza kuhusu ukimya wa tukio la kutekwa kwa Mo Dewji.
Amesema, "Jeshi la Polisi linatakiwa kuelewa kuwa Watanzania sio wajinga, kama suala la kutekwa kwa Mo Dewji linaacha maswali. Tuliambiwa alitekwa na wazungu lakini lilipoisha haikueleweka, mwishoni aliyetekwa alionekana anakunywa chai na Mambosasa
Tulioneshwa nyumba na dereva lakini hadi leo hakuna aliyepelekwa Mahakamani. Hata kama Watanzania watanyamaza lakini mioyo yao haitakuwa 'clear'. Mambo haya yanalitia doa Jeshi la Polisi."
Hii ni TAA NYEKUNDU!
Lakini je, vipi kuhusu kesi za kutekwa Roma?, Mwenyekiti wa Halmashauri Kibondo Mr. Kanguye?, Mwana Habari Azory Gwanda? na wengine kesi zao zimefika wapi?
Vipi kesi ya kupigwa risasi Tundu Lissu, upelelezi umefika wapi? Anasubiriwa arudi TZ?
uchaguzi upo karibu tutasikia vimbwanga vingi ,,hiki kipindi chote mtani wangu Ngosha Atakuwa mnyenyekevu sana, na wajinga watahisi Jamaa kahamua kuwa mtu wa Mungu now, Lol2019
2020......!
uchaguzi upo karibu tutasikia vimbwanga vingi ,,hiki kipindi chote mtani wangu Ngosha Atakuwa mnyenyekevu sana, na wajinga watahisi Jamaa kahamua kuwa mtu wa Mungu now, Lol
Masoud Kipanya.......Katika hafla ya kuwaapisha mawaziri na na polis walioteuliwa, leo Raisi amedokeza kuhusu ukimya wa tukio la kutekwa kwa Mo Dewji.
Amesema, "Jeshi la Polisi linatakiwa kuelewa kuwa Watanzania sio wajinga, kama suala la kutekwa kwa Mo Dewji linaacha maswali. Tuliambiwa alitekwa na wazungu lakini lilipoisha haikueleweka, mwishoni aliyetekwa alionekana anakunywa chai na Mambosasa
Tulioneshwa nyumba na dereva lakini hadi leo hakuna aliyepelekwa Mahakamani. Hata kama Watanzania watanyamaza lakini mioyo yao haitakuwa 'clear'. Mambo haya yanalitia doa Jeshi la Polisi."
Hii ni TAA NYEKUNDU! Kama Polisi hawafanyi uchunguzi, kikwazo ni nini au ni nani? Tuanzie hapo.