Kutekwa kwa MO Dewj kwaanza kuanikwa, vipi Roma? Saanane? Azory Gwanda? Kupigwa risasi Tundu Lissu? Wengine je? Polisi mmepewa neno leo, shughulikeni.

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
896
1,000
Katika hafla ya kuwaapisha mawaziri na na polis walioteuliwa, leo Raisi amedokeza kuhusu ukimya wa tukio la kutekwa kwa Mo Dewji.

Amesema, "Jeshi la Polisi linatakiwa kuelewa kuwa Watanzania sio wajinga, kama suala la kutekwa kwa Mo Dewji linaacha maswali. Tuliambiwa alitekwa na wazungu lakini lilipoisha haikueleweka, mwishoni aliyetekwa alionekana anakunywa chai na Mambosasa

Tulioneshwa nyumba na dereva lakini hadi leo hakuna aliyepelekwa Mahakamani. Hata kama Watanzania watanyamaza lakini mioyo yao haitakuwa 'clear'. Mambo haya yanalitia doa Jeshi la Polisi."

Hii ni TAA NYEKUNDU! Kama Polisi hawafanyi uchunguzi, kikwazo ni nini au ni nani? Tuanzie hapo.

Lakini je, vipi kuhusu kesi za kutekwa Roma?, Mwenyekiti wa Halmashauri Kibondo Mr. Kanguye?, Mwana Habari Azory Gwanda? na wengine kesi zao zimefika wapi?

Vipi kesi ya kupigwa risasi Tundu Lissu, upelelezi umefika wapi? Anasubiriwa arudi TZ?
 
Isa khamisi

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
431
500

Hii ni TAA NYEKUNDU!

Lakini je, vipi kuhusu kesi za kutekwa Roma?, Mwenyekiti wa Halmashauri Kibondo Mr. Kanguye?, Mwana Habari Azory Gwanda? na wengine kesi zao zimefika wapi?

Vipi kesi ya kupigwa risasi Tundu Lissu, upelelezi umefika wapi? Anasubiriwa arudi TZ?
Maswala mengi kuliko majibu.
 
Abubakary Shacou

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
383
250

Asitake kujisafisha hata yeye awajibike,maswali ni mengi tumetulia nayo mioyoni siyokuwa tumesahau bali tunajua !
Anataka kuwasukumia zigo polisi waangaike nalo,na yeye aonekane hausiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,404
2,000
Atajibu yeye m,wenyewe 2020. Tunaponyamaza sio kuwa hatuoni afanyayo, bali yeye sii mbabe? baasi aache tuendelee kunyamaza lakini mwakani tutamuuliza mengi. Bukoba tutauliza hivi tetemeko halimuhusu maana ccm sio imeleta? Lindi,Mtwara, Ruvuma na Pwani tutauliza kwa nini umtudhulumu korosho na tulipokuwa tunauliza unataka kutupigia shangazi zetu? Waalimu na Manesi wapi increaments na promotions zetu miaka yote?
Wale aliosema vyeti feki na tumefanya kazi miaka 30 katufukuza kazi na akiba yetu ya jasho letu kule PSPF, NSSF, GEPF mbona nalo katuibia?
Maswali ni mengi sana na lazima atujibu
 
3 Angels message

JF-Expert Member
Aug 3, 2017
2,589
2,000
Kwanini anaulizwa Mo wakati kuna wengi tu ambao mpaka Leo hawajarudi na haijulikani walipo bora Mo kapatikana, nadhani suala la mwandishi wa mwananchi Azory na wengine ndiyo lingekuwa bora zaidi kupima weledi wa jeshi letu

Mtu anapotea kwa kutekwa mpk leo hajulikani na polisi wapo wala hawatoi hata taarifa juu ya hatua gani wamefikia ktk utafutaji kuonyesha kama wanajali yaani wapo tu kana kwamba aliyepotea ni mdudu tu kumbe ni baba wa watoto, ni mme, ni mtu anayetegemewa na jamii yake wao hawajali hayo. Hii ni hatari kwa chombo ambacho ndicho kinalinda usalama wa raia na watu kama hao ndiyo Rais anapaswa kuwaulizia
 
kandawe

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
1,138
2,000
Katika hafla ya kuwaapisha mawaziri na na polis walioteuliwa, leo Raisi amedokeza kuhusu ukimya wa tukio la kutekwa kwa Mo Dewji.

Amesema, "Jeshi la Polisi linatakiwa kuelewa kuwa Watanzania sio wajinga, kama suala la kutekwa kwa Mo Dewji linaacha maswali. Tuliambiwa alitekwa na wazungu lakini lilipoisha haikueleweka, mwishoni aliyetekwa alionekana anakunywa chai na Mambosasa

Tulioneshwa nyumba na dereva lakini hadi leo hakuna aliyepelekwa Mahakamani. Hata kama Watanzania watanyamaza lakini mioyo yao haitakuwa 'clear'. Mambo haya yanalitia doa Jeshi la Polisi."

Hii ni TAA NYEKUNDU! Kama Polisi hawafanyi uchunguzi, kikwazo ni nini au ni nani? Tuanzie hapo.

Lakini je, vipi kuhusu kesi za kutekwa Roma?, Mwenyekiti wa Halmashauri Kibondo Mr. Kanguye?, Mwana Habari Azory Gwanda? na wengine kesi zao zimefika wapi?

Vipi kesi ya kupigwa risasi Tundu Lissu, upelelezi umefika wapi? Anasubiriwa arudi TZ?
Masoud Kipanya.......
Una IQ ya juu sana. wengi hawajui ila wewe ni kiboko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom