kutapika nyongo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kutapika nyongo.

Discussion in 'JF Doctor' started by Slave, Aug 16, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,116
  Likes Received: 482
  Trophy Points: 180
  salamun wapendwa ktk jf.jamani nimekumbwa na ugonjwa nisio ujua jina lake.nina kama siku saba kila asubuhi kati ya saa 11:00 na 1:00 asbh tumbo hunivurugika yaani unakuwa unahisi kama kuna machungwa mazima mazima yanavingirika huko na huku ndani ya tumbo yakifika usawa wa kifua yanapasuka na kusababisha nibeuwe.kabla hayaja pasuka huwa nipo katika wakati mgumu sana huku natokwa na mate mepesi na kuniletea kichefu chefu ambacho hupelekea kwenda kutapika.matapishi huwa ni maji ya njano yenye mbaya ya ugwadu ama kahawa iliyotiwa limao.baada ya kutapika huwa ninapona mpaka kesho tena.kumbukeni mimi ni mwanaume msije mkanishauri niende kiliniki ya wajawazito. Lol.
   
Loading...