Magari damu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 443
- 778
- Thread starter
-
- #21
Pole..nenda polisi
Nenda polisi moja ya faida ya kusajili line kwa kitambulisho cha taifa na alama za vidole ni kukamata wahalifu... Ukienda kutoa ripoti utamjua usikae bila kurepoti
Ila me sijaelewa hii..mbn mitandao yote inaingiliana? Yaan Sasa hv hakuna masuala ya kuulizana una voda? Si unatuma tu kwaoption ya "mitandao mingine"Asante sana. Dah itabidi basi niende kesho tu... coz hapa akili still haijasettle vizuri
Ame edit meseji ya benki akaongeza tarakimu!!huu mchezo tumechezeana sana kwenye upatu na washkaji zangu !!!
Kila la kheri... Ila amini katika hili, lililo pangwa liwe lako utalipata na kama hukupangiwa basi mshukuru Mungu na amini utapata zaidi ya kile ulichopoteza... Good luckShukrani sana ndugu. Nitaenda polisi kesho nilifatilie vizuri. Asante sana boss
Ame edit meseji ya benki akaongeza tarakimu!!huu mchezo tumechezeana sana kwenye upatu na washkaji zangu !!!
Broo
Hapa kaka walichokifanya nadhani ni hivi huyo kasema ni ndugu yake hapana sio kweli huyo ni tapeli mwenzake wamecheza mchezo mmoja wa kitoto sana yan kiufupi iko hivi.huyo ndugu yake kasave namba ya jamaa tapeli kama nmb alafu huyo tapeli akatuma hiyo sms ukadhani kama imetoka nmb .pole sana ndugu yangu ilia jaribu kufuatilia hizo namba usajili wake uone utafika sehemu gani labda tcra wanaweza kukusaidia kuhusu alama za vidole za hiyo namba na imesajiliwa kwa namba gani na alitumia simu ya aina gani na katika simu yake anawasiliana na nani mara nyingi tcra watakusaidia hii japokuwa mlolongo ni mrefu pia nashauri watu wawe makini sana wapofanya biashara na watu wasiokuwa na connection nao mana dunia imebadilika watu wamechanganyikiwa hawaogopi kula mali za watu bila khiana.
Kuwa na subira ndugu yangu mali ya mtu haipotei hao lazima na wao itafika zamu yao ya kudhulumiwa.
Thank you ndugu... what would you advise me to do. Nifanye go-ahead gani?
Ila me sijaelewa hii..mbn mitandao yote inaingiliana? Yaan Sasa hv hakuna masuala ya kuulizana una voda? Si unatuma tu kwaoption ya "mitandao mingine"
Namba ya huyo bwana na ikiwezekana na ya mdogo wake kaziripoti polisi. Najua fika ukimkamata mdogo mtu umemkamata kaka mtu...
Kosa kubwa alilofanya huyo tapeli nikukuunganisha na mdogo wake...
Anza na mdogo mtu atakufikisha kwa kaka mtu...
Watu hawana huruma kabisa...
Asante kwa kutambua ujinga wanguKuhusu kumpa account, Soma vizuri tena boss. Ilikua jioni, so banks pia zilikua zishafungwa. Na pia nisingekubali aje akanitumie labda kesho yake. Ingekua ngumu ndugu yangu
Broo
Hapa kaka walichokifanya nadhani ni hivi huyo kasema ni ndugu yake hapana sio kweli huyo ni tapeli mwenzake wamecheza mchezo mmoja wa kitoto sana yan kiufupi iko hivi.huyo ndugu yake kasave namba ya jamaa tapeli kama nmb alafu huyo tapeli akatuma hiyo sms ukadhani kama imetoka nmb .pole sana ndugu yangu ilia jaribu kufuatilia hizo namba usajili wake uone utafika sehemu gani labda tcra wanaweza kukusaidia kuhusu alama za vidole za hiyo namba na imesajiliwa kwa namba gani na alitumia simu ya aina gani na katika simu yake anawasiliana na nani mara nyingi tcra watakusaidia hii japokuwa mlolongo ni mrefu pia nashauri watu wawe makini sana wapofanya biashara na watu wasiokuwa na connection nao mana dunia imebadilika watu wamechanganyikiwa hawaogopi kula mali za watu bila khiana.
Kuwa na subira ndugu yangu mali ya mtu haipotei hao lazima na wao itafika zamu yao ya kudhulumiwa.
Bro, uliona ngumu kutumiwa kesho yake ila rahisi pesa yote hiyo ipitie kwa rafiki yako ukaitoe kesho.
........Mchuma janga hula na wa kwao.
Pole sana. Kwa upande wangu malipo ya mtandao sina imani nayo ukija kwangu kupata huduma huwa napokea cash only