Kutangaza biashara yako Marekani

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,675
1,483
Kama una biashara iliyosajiliwa na unadhani unahitaji soko la Marekani basi jaribu kutangaza kwenye local Television ya Marekani inayowafikia zaidi ya wakazi milioni 1 au makazi zaidi ya elfu 50. Utahitaji kuwa na tangazo la Television lisilozidi sekunde 30. Itakugharimu nusu dola $0.5 tu kwa spot moja (promotional price. Normal price $1 per spot). Kwa dola 35 unapata matangazo 10 kwa siku kwa wik nzima. TV station inapatikana pia kupitia live streaming kwa hiyo unaweza kuangalia kutoka TZ.
Kama unadhani una biashara (bidhaa au huduma) inayohitaji soko la Marekani idondoshe hapa tuijadili.
 
Tatizo ni kwamba watu wachache sana wanaoangalia Tv sasa hv,, watu wengi sana sasa hv habari zote wanazipata kwenye mitandao
 
Hii ndo hali halisi...Kama kuna direct app za kutangaza ili zifikIe walengwa ingekuw Ni nzuri zaid kuliko spending on tv stations ..... maana the world now is just a village kwa utandawazi huu.....
 
Back
Top Bottom