Kutana na Mwanadada Dereva wa Bus

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,755

Ni Nusura Maguruko (Miaka 28), Abiria wengi wanafurahia mwendo wake na nidhamu ya uendeshaji basi. Nami natamani siku moja nipande basi hili!

Je, umewahi kupanda basi linaendeshwa na mwanamke? Je, unafahamu kuwa wanawake wanaendesha vyombo vya moto kwa kufuata kanuni na taratibu na wanaendesha kwa usalama usio na shaka?
Nini uzoefu wako?

photo and caption by Julius S. Mtatiro through his facebook account.
 

Attachments

  • deveva wa kike.jpg
    108.4 KB · Views: 1,276
Mbona wapo hata kwenye mafoli, kama EAFCO petroleum, na pia alikuwepo mmoja dereva wa SHABIBY EXPRESS
 
yaah!
Sana makini miaka ya nyuma kuna mwingine alikuwa anaitwa hawa aliendesha uda.
Pia shabiby kulikuwa na dereva mwanamke.
Na kuna mmoja wa lori alikuwa akitoka zimbabwe kwa sasa haonekani.
Wote ni makini balaa.
Ndio maana wazungu safari ndefu za kifamilia mke
huendesha gari.
 
Jana kwenye msafara wa malory ya jwtz nlimuona mdada mmoja anaendesha.
 
Huku safar ndefu inabid awe Me coz ya rafu rods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…