Dumuzii JF-Expert Member Joined Jan 4, 2019 Posts 3,601 Reaction score 8,711 Dec 20, 2022 #1 Huyu ni kijana anae shikilia record ya giness ya kumshauri baba yake tangu alivyo kuwa kijana hadi sasa baba kazeeka bado anamshauri. [emoji23][emoji23][emoji23] Hili ajabu linapatikana tanzania pekee.
Huyu ni kijana anae shikilia record ya giness ya kumshauri baba yake tangu alivyo kuwa kijana hadi sasa baba kazeeka bado anamshauri. [emoji23][emoji23][emoji23] Hili ajabu linapatikana tanzania pekee.
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,659 Reaction score 20,072 Dec 20, 2022 #2 Mwambie na yeye ajiandae tu kushauriwa na mwanae mpaka uzee wake.