Kutana na lecturer mbabe.....

Enzi zetu mtihani wa taifa wa kiswahili ulitungwa mrahisi mno, ila watu wengi walifeli maana hawakusoma maelekezo. Wakakimbilia kujibu maswali yote na kuwahi kumaliza mtihani na kusubiri A.

Kumbe maelekezo yalisema, usijibu swali lolote andika namba za maswali kisha kusanya mtihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…