Mohameddiwani
Senior Member
- Jul 11, 2018
- 153
- 307
kutana na fundi wa umeme wa bei poa na kazi nzuri kabisa.nipo dar es salaam.nitafute kwa namba 0652868486
ulitaka akunje conduit au?Kwanini unatumia elbow?
kwakua hakunji 'kondit'Kwanini unatumia elbow?
apunguze uvivukwakua hakunji 'kondit'
labda ni beginner jeapunguze uvivu
apunguze uvivu
hata izo za blue unakunja , na moto/mchangakondit za kukunja ni zile nyeupe mkuu.zile ukikunja na spling bend inakuwa poa san ila sio izi za blue mkuu
Wewe Fundi je unayo leseni ya EWURA? Au unataka utuue na moto wa umeme?