Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

kwa wanaojenga maeneo ya pugu,chanika mpaka mvuti, unaweza kupata
mchanga, kokoto,pavement na mapambo ya fance kutoka kwetu,
tupo chanika opp crdb bank
0758788801
 
4bdr, hii Nyumba ni kubwa sana. Ina sqm 399. Mpaka hapo zaidi ya 42mil
ok tufanye vyumba viwili viwe master,halafu viwili vingine self,choo public,kitchen,sitting room,dining,mpaka inafika hapo na gharama zako za ufundi jumla ni hiyo milion 42?ukisema ni zaidi maximum ni milioni ngapi?
tukielewana kuna kazi nataka nikupe
 
Hapo ilipo imewekwa grill, imefanyiwa wiring, imewekwa frem za milango ,imefanyiwa plumbing na imemwagwa jamvi na skimming kama unavyoona hapo.
Pia vyumba vyote ni self contained.

Gharama ya vitu vyote hivo inafika 60mil. Nilipokueleza ile 42mi nililenga kwenye structure, Sikh include installation ya hivyo vingine. Hivyo basi hiyo 60mil labour iko ndani yake
 
nimekupata mkuu
 
IMG-20180627-WA0008.jpg
IMG-20180627-WA0008.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom