Kutana na CCTV ambazo ni vipofu

Kutana na CCTV ambazo ni vipofu

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,668
Reaction score
1,660
Hazina uwezo wa kuona chochote...
FB_IMG_15397643316941407.jpeg
 
Zili bagua vya kuona kwenye tukio la utekwaji wa Mo....tehteehh [emoji13] [emoji13]
 
ni kweli kabisa mtoa hoja cctv zetu ni vipofu maana hazina msaada wowote ule na ni muhimu tuelewe kuwa ufanisi wa cctv unategemea mno na jinsi gani response yetu ipo vipi linapotokea tukio,tunahitaji wataalam wa kuziendesha hizi cctv ili kuona kila siku zinafanya kazi na tuelewe kuwa ni mahakama tu yenye uwezo wa kutoa uamuzi wa private cctv kwa polisi ili ziweze kuwasaidia (polisi hawana nguvu za kisheria ya kulazimisha private cctv ili waweze kuzitumia katika ushahidi wao) ndio maana ni muhimu kwa serikali kuwa na mtandao wake wa cctv kupitia serikali zake za mitaa,tuendelee kusubiri
 
Mbona za clouds zilichukua tukio ya yule bwana kuvaa studio yao
 
ni kweli kabisa mtoa hoja cctv zetu ni vipofu maana hazina msaada wowote ule na ni muhimu tuelewe kuwa ufanisi wa cctv unategemea mno na jinsi gani response yetu ipo vipi linapotokea tukio,tunahitaji wataalam wa kuziendesha hizi cctv ili kuona kila siku zinafanya kazi na tuelewe kuwa ni mahakama tu yenye uwezo wa kutoa uamuzi wa private cctv kwa polisi ili ziweze kuwasaidia (polisi hawana nguvu za kisheria ya kulazimisha private cctv ili waweze kuzitumia katika ushahidi wao) ndio maana ni muhimu kwa serikali kuwa na mtandao wake wa cctv kupitia serikali zake za mitaa,tuendelee kusubiri

Nadhani Polisi hawatumii hizo CCTV kama ushahidi kwa sasa bali wanazitumia kwa ajili ya upelelezi wao.
 
nazani hizo zinafanya motion detection kwa hiyo kama watekaji hawajajongea hawarekodiwi
 
Hata zikiona inategemea zimemuona nani, zile za Clouds ziliwaona watu wasiojulikana so hakukuwa na kesi
 
Kuna dhambi nyingine ukiitenda hata malaika walinzi wanajificha.
 
Back
Top Bottom