Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,570
Komba hajamwona kweli anapenda sana watoto kama hawa ametuharibia Lulu wetu.
itakuwa na maji kubali kataa.
Thubutu kitu mnato hiyo...kubali kataaa.itakuwa na maji kubali kataa.
hapana mkuu, mama watoto wangu hatukuingia nae mkataba fekihuyo ndiye pekee hamkuingia naye mikataba fekifeki
JK anaweza bahatisha hapoKidume ni atakaevuta hio kitu. Yani nitamkubali jamaa atakae miliki hio kitu na itulie. Sababu kwanza dingi akubali ule malaika wake pili huyo binti niliona picha anapiga gym na rihanna. Sasa hehehe, sijui Diamond ataweza? Anabahati mama nanihii kaniwahi.
mbona huyu anaoneshwa sana? yule mjeshi yeye wapi bwana?
Dar labda WACHUKUE NCHI