Hivi mkoani ni wapi?
Hivi Dar sio mkoani?
Najua unataka tuje tujazane hapo Dar ila mimi sidanganyiki ng'o nabaki zangu hapa hapa Mtwara. LIWALO NA LIWE!
acha maswali ya kizushi........
Kule wap mbona ume2fcha ? Funguka...!
hiyo title imekaa vibaya sana
hahaaa kutamu balaa ukifungua unakutana na darisalama
kakae maeneo ya jangwani ndo uje useme dar ni kutam balaa
kakutane na foleni ya masaa mawil na nusu pale ubungo mataa ukiwa
umetoka kariakoo unaelekea mbezi mida ya jion, hapo umesimama katika daladala
ndo uje useme Dar ni patam balaa