extra 2018
New Member
- Feb 11, 2018
- 4
- 2
[emoji122][emoji122][emoji122]mm huwa nawakwepa, maradhi mengi
[emoji23] [emoji23] Kunyima nyimana dhambi ujue, alaf vitu vyenyewe haviozi[emoji125]Safi sana nimekuelewa, uchoyo sio mzuri kabisa na naamini wewe sio mchoyo
Hahaha kwanini?
Hiyo ni hatari ss, kwann mzinguane?Kwasababu ukiwa nae kuna wengine wanakutaka so siku mkizinguana unahamishia makazi kwa mwingine.
Dah nimekupenda bure [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] Kunyima nyimana dhambi ujue, alaf vitu vyenyewe haviozi[emoji125]
Sijaolewa.... Ila ndio ruksa kabisa maana hata nikisema sitaki kushare na mtu anakoenda najua? Wanaume wa siku hizi wachache ndo wametulia na ndoa zao ila wengi wao mmhhHeeh![emoji30]
Kwahyo na ww mume wako ruksa kushea na wenzako eeh!
[emoji23] [emoji23] pita kimyakimyaNahisi harufu ya ngono hum
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Dah nimekupenda bure [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmh! Una moyo mzuri basii ila ni hatariSijaolewa.... Ila ndio ruksa kabisa maana hata nikisema sitaki kushare na mtu anakoenda najua? Wanaume wa siku hizi wachache ndo wametulia na ndoa zao ila wengi wao mmhh
Ngoja nilete posaSijaolewa.... Ila ndio ruksa kabisa maana hata nikisema sitaki kushare na mtu anakoenda najua? Wanaume wa siku hizi wachache ndo wametulia na ndoa zao ila wengi wao mmhh
Pua zako zitakuwa na matatizo chief [emoji1][emoji1]Nahisi harufu ya ngono hum
Different personalitiesHiyo ni hatari ss, kwann mzinguane?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu usimuogopeshe Sina madhara
Hahaha kwahyo unakubaliana nae asiwe mchoyo eeh!!Dah nimekupenda bure [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sawaπππPua zako zitakuwa na matatizo chief [emoji1][emoji1]
Mshipa huyu hapana namuonaga onaga