Kutamaniwa na wanawake kwa mwanaume anapooa

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Kabla hujaoa, utahangaika sana huku na kule kupata mwanamke wa kukuliwaza ila ukioa tu utashangaa wake wa majirani zako wanaanza kukuletea mapozi, hata vidada mtaani vinakuwa vinajilengesha tu.

Au ndo tunakuwa watamu tukioa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…