Nishawahi kusema hiyo statement" I like u"(nakutamani) ikani cost wengi wanapendwa kudanganywa kama "I love u" hata kama ndo unamuona mara ya kwanza
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Habari wana MMU.
Hivi katika hali ya kawaida is it right kumwambia dada au mwanamke umemtamani badala ya kumdanganya umempenda (Mkikutana kwa mara ya kwanza)!!
Maana kwa experience yangu ukikutana na mdada for the first time kwa sisi wanaume huwa tunawatamani kwanza though inaweza kutokea ukampenda lakini ni mara chache mno!
Sasa to stay true to yourself na kwake pia kwanini usimwambie tu umemtamani badala ya kumdanganya!!!
Na ukimwambia umemtamani straight forward sijui atakuelewaje!!
Tujadili.....!!!!!!!!!!!!!!!!
Nishawahi kusema hiyo statement" I like u"(nakutamani) ikani cost wengi wanapendwa kudanganywa kama "I love u" hata kama ndo unamuona mara ya kwanza
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
very thin like between nakupenda na nakutamani.
kwenye red hapo is it not the same as kusema nimekutamanKuna maneno mengi waweza yatumia bila kusema 'nakupenda au nakutamani'
1: ningependa kukufahamu vizuri
2: ningependa kuwa karibu nawe
3: napenda company yako
4: l like you
Etc
Though unamtamani, ukitamka moja kwa moja inaonesha picha ya dharau kwa baadhi ya watu, ingawa kwa some it might sound sexy.